April 1, 2019

2 COMMENTS:

  1. Hawa Simba hawakuwa wapumbavu kwenda Morogoro kwani Mashabiki wa Moro wanaonekana kuwa na afya ya ushangiriaji kuliko hata Mashabiki wa Dar. Yaani hawaonekani kuwa feki.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mkuu mashabiki hao wengi wao ni wale wanaosafiri na timu kila uwanja..
      Sijuhi Tatizo ni nini wakiwa Dar hawashangilii timu yao wanabaki kushangilia matukio ya kanzu, dobo, chenga, tiktak,
      Hakika shangwe kama hizi TP Mazembe wakikumbana nazo lazima waachie pointi 3 kwenye ardhi ya Bongo..
      Pamoja na kuhamasisha kuuza uwanja Haji Manara afanyie kazi hamasa ya kushangilia timu kwa muda wote wa mchezo bila kujali matokeo!!

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic