May 26, 2019

MSHAMBULIAJI wa Simba, Emmanuel Okwi, leo amewaaga mashabiki wake wa Simba kupitia ukurasa wa Instagram.

Okwi, ametupia picha yenye maneno yaliyoonyesha kwamba ni kama anawaaga hivi mahabiki zake.

"Goodbye is the saddest word," (kwa heri ni neno ambalo lina maumivu) ameandika Okwi.

Okwi alikuwa mfungaji bora kwa msimu wa mwaka 2017/18 alifunga mabao 20 na msimu huu ana mabao 15.

Uongozi wa Simba haukuwa tayari kuzungumzia suala hili kwa sasa.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic