UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa haujaelewa ratiba ya kombe la Shirikisho msimu huu kuwa ngumu kutokana na kuwa na muda mdogo wa maandalizi.
Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha wa Lipuli, Seleman Matola amesema kuwa hakukuwa na haja ya ratiba kubana kwa kuwa ligi imekwisha.
"Nimemaliza mchezo wangu wa ligi jana na kikosi cha Tanzania Prisons, sasa leo naanza safari kuifuata Lindi hapo utaona kwamba kazi ni ngumu.
"Kesho ndio kikosi kinaweza kutia timu kuokana na miundombinu yetu hivyo TFF walipaswa kuangalia namna ya kupeleka mbele ratiba yetu," amesema Matola.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema kuwa ratiba ilikuwa inajulikana tangu awali ni jukumu la timu kujipanga.

0 COMMENTS:
Post a Comment