June 28, 2019


UNAAMBIAWA TP Mazembe, bado wamemkomalia nyota wa Yanga, Ibrahim Ajibu ambaye usajili wake uliingia doa kwa kushindwana kwenye malipo.

Wakala wa TP Mazembe, Patrick Mazembe amesema kuwa bado Mazembe wanahitaji huduma ya mchezaji huyo ambaye msimu wa 2018/19 alikuwa ni kinara wa pasi za mwisho TPL baada ya kutoa jumla ya pasi 17.

"Mwanzo Ajibu alitusumbua kwa kutaka dau kubwa, kwa sasa tumeamua kumfuata Bongo, ila ametuzimia simu hivyo jitihada za kumtafuta zinaendelea kama tutaelewana naye basi atatua Mazembe," amesema.

Imeelezwa kuwa Ajibu amesaini mkataba wa awali ndani ya Simba kwa muda wa miaka miwili.

3 COMMENTS:

  1. Sasa hawa Mazembe ndio hawajui kuwa Ajib yumo katika radar Zahera ende Yanga ambayo Pia inazimiwa simu

    ReplyDelete
  2. His ni mbinu chafe anafanyiwa Ajib, akikubali tu kuingia mtego huo, atakuwa benchi tu hook TP Mazembe. Sio kweli hata kidogo TP Mazembe kumtafuta hivyo mchezaji halafu eti watamlipa sh 40m ni kutoka kumpotezea mbali, kisa mnajua wenyewe na Zah anajua

    ReplyDelete
  3. Kwa nini wanamshupalia Ajibu kuchezea TP Mazembe.Ajibu ana meneja na ndio coordinator wake hivyo kwa nini wamtafute directly Ajibu bila ya kuwasiliana na meneja wake?Au mie naelewaje?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic