June 22, 2019


Timu ya Taifa ya Uganda imeanza michuano ya AFCON kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Congo.

Uganda imejipatia mabao yake kupitia kwa Patrick Kaddu dakika ya 14 na Emmanuel Okwi mnamo dakika ya 48.

Ushindi wa Uganda unaifanya ikae kileleni mwa kundi A ikiwa na timu zingine za Misri na Zimbabwe.

Msimamo unaonesha Uganda ipo kileleni, Misri iliyoachwa idadi ya mabao ikishika nafasi ya pili wakati Zimbambwe iliyofungwa bao 1-0 na Misri jana ikiwa ya tatu na namba nne ikishika Congo.

14 COMMENTS:

  1. Daa Uganda atakuwa amebebwa na marefa na CAF....wapi Vuvuzela.

    ReplyDelete
  2. zahera ongea sasa maana huku ulikuwa ukishindwa hukosi sababu

    ReplyDelete
  3. Kocha mkuu wa DRC ni Florent Ibenge na ndio mwenye maamuzi ya mwisho katika timu Zahera ni mmojawapo wa wasaidizi wake katika benchi la ufundi

    ReplyDelete
  4. Haya Zahera mumeonewa na refa.
    Poleni sana

    ReplyDelete
  5. Washabiki wa simba mbumbumbu kweli!! Yaani leo wamekuwa waganda kisa Zahera! Huyu ni kocha msaidizi tu, na hata Congo ikifungwa mechi zote bado hakuna tutakachofaidika nacho kama watz!! Ndo maana Rage aliwatukana, mnahitaji elimu

    ReplyDelete
  6. Hakuna cha Umbumbumbu,kwani AC Vita ilikuwa ya Tanzania?

    ReplyDelete
  7. Hata ivo okwi na juuku wamewakilisha cha la mnyama ili zahera ajue wwanawweza

    ReplyDelete
  8. Yeye Zahera kakereketwA kufungwa na Okwi.Maana Okwi ni Simba.Nasikia anasema alikuwa kaotea???

    ReplyDelete
  9. Zahewa analisema simba wanabebwa sasa wakina okwi nao wanabebwa!.

    ReplyDelete
  10. Zahera ziiii hakosi sababu atasema tu

    ReplyDelete
  11. Zahera alitegemewa kama Ada yake kutupia lawama kuwa mapya kuwa ilibebwa kama ilivokuwa inabebwa Simba lakini huenda Aliona haya kutamka hayo. Tutaona katika ligi kuu ijayo sijui atakuwa nayo yepi mapya

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic