July 11, 2019

GADIEL Michael nyota mpya wa Simba amesema kuwa kazi yake kubwa ni kucheza hivyo atapambana kufanya vizuri ndani ya kikosi chake kipya.

Michael amesaini kandarasi ya miaka miwili akitokea Yanga hivyo msimu ujao atakuwa ndani ya kikosi cha mabingwa hao kutetea ubingwa wa Simba.

"Kazi yangu kubwa ni kucheza na siwezi kuchagua kazi, nipo tayari kupambana na changamoto mpya hivyo ni wakati wangu kuonyesha uwezo wangu zaidi," amesema.

Michael anaungana na nyota wenzake wawili ambao wametoka Yanga na kufanya jumla wawe watatu ambao ni Ibrahim Ajib na Beno Kakolanya.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic