July 10, 2019

HARUNA  Niyonzima kiungo mwenye uwezo wa kuchezea mpira uwanjani namna anavyotaka inaelezwa kuwa amejiunga na klabu ya AS Kigali ya Rwanda.

Niyonzima amejiunga na AS Kigali ambayo inashiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (Caf) amemaliza mkataba wake na Simba hivyo anajiunga akiwa mchezaji huru.

AS Kigali ni mabingwa wa FA nchini Rwanda, ataitumikia timu hiyo kwa kandarasi yake ya mwaka mmoja.

2 COMMENTS:

  1. Tunamtakia kila la heri atengenekewe Huko na astarehe kuliko alivokuwa katika kikosi chake cha zamani Simba

    ReplyDelete
  2. kilichomponza ni nidhamu mbovu na dharau

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic