KWA masikitiko makubwa, uongozi wa Global Publishers, unatangaza kifo cha mwandishi wake aliyekuwa akiandikia Magazeti ya Michezo ya Championi na Spoti Xtra, Ibrahim Mressy kilichotokea mchana wa leo Julai 10, 2019 jijini Dar es Salaam.
Innalillah Wainna Ilayh Rajiun!
Innalillah Wainna Ilahy Rajoun.Tunamuomba Mwenyezi Mungu ampunguzue adhabu ya kaburi na ampe kauli thabiti siku ya hukumu.
ReplyDeleteHakuna hila kwasababu tukitakacho sisi na Mungu Pia anakitaka. Mungu Amrehemu amsamehe makosa yake yote na amuweke pema peponi na aipe familia yake subira na uvumilivu. Allahuma Amin
ReplyDelete