July 5, 2019

KOCHA wa timu ya Taifa, Emman
uel Ammunke amesema kuwa walichokipata kwenye michuano ya Afcon Misri ni uzoefu hivyo watafanya vema wakati mwingine.

Tanzania ilishindwa kutinga hatua ya 16 bora baada ya kupoteza michezo yote mitatu hali iliyowafanya warejee nyumbani bila pointi.

"Ushindani ulikuwa mkubwa na tumefanya kwa kadri ya uwezo wetu, kikubwa ambacho tumekipata ni uzoefu na kujiongezea hali ya kujiamini," amesema Ammunike.

2 COMMENTS:

  1. Uzoefu wa kazi? Hicho ndicho anachokitafuta Amunike ndani ya Taifa stars.Anatafuta uzoefu wa kazi wake yeye binafsi na sio timu kupata uzoefu.Kaja Tanzania kujifunza kazi ya ukocha.Labda kuna dili la siri kati ya TFF na Amunike. Inawezekana Amumike anawakatia kitu fulani baadhi ya watendaji wa TTF ili kumpatia hii ajira ya kutengeneza CV yake. Hii ni Tanzania na Amunike ni Mnaigeria. Uwezekano wa kutokea uhalifu kwenye huu mchanganyika wa utaifa ni sawa na uwezekano wa jua kuchomoza asubuhi.

    ReplyDelete
  2. madagasica walikuwa na uzoefu gani, Burundi pamoja na kutolewa walikuwa wanacheza mpira unaoeleweka sisi hata fomesheni ilikuwa haiweleweki

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic