July 12, 2019


ROB Holding beki wa Arsenal anatarajiwa kukosa mechi za mwanzoni mwa msimu ujao kutokana na kuendelea kuuguza jeraha lake la goti alilolipata Desemba mwaka jana.

Holding msimu uliopita alikaa benchi kwa muda wa miezi mitano baada ya kuumia kwenye mchezo wao dhidi ya Manchester United pale Old Trafford.

Nyota huyo mwenye miaka 23 kwenye mechi 16 ambazo alikuwa uwanjani Arsenal haikupoteza hata mchezo mmoja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic