July 1, 2019


 Mkurugenzi Mkuu wa Mwananchi Communications Limited, Frances Nanai akionyesha sehemu Kipande cha Gazeti la Mwanaspoti ambacho msomaji ukinunu unapaswa kujaza taarifa zako na unaweza kujishindia Bodaboda au Simu ya mkononi ama pesa taslimu mara baada ya uzinduzi wa
Promosheni ya “Shinda Mchongo wa Mwanaspoti” uliyozinduliwa katika ofisi za Mwananchi Communications Limited
.

 Mkurugenzi Mkuu wa Mwananchi Communications Limited, Francis Nanai na Mwakilishi wa Michezo ya kubahatisha Tanzania, Jihudi Ngolo wakikata utepe kuashilia uzinduzi wa romosheni ya”Shinda Mchongo wa Mwanaspoti” ulifanyika katika ofisi za Mwananchi Communications Limited.Kulia ni Meneja masoko wa MCL, Sara Munema na Mkuu wa kitengo cha uzalishaji wa habari Mwananchi Communications Limited, Frank Sanga


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic