Dakika 90 zinakamilika ngoma inalala kwa Stars
Dakika ya 86Hamdou Mohamed anaonyeshwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi mbili za njano
Dakika ya 81 Libya ilifunga goli la pili
Dakika ya 79 Libya inafanya shambulizi linaishia kati
Dakika ya 71 Libya inaifuata eneo la hatari
Dakika ya 70 Libya inapata faulo
Dakika ya 68 Hasan Dilunga anaingia Farid Mussa anatoka nje
Dakika ya 67 penalti kali inafungwa na Libya
Dakika ya 66 Libya inapata penalti baada ya beki wa Tz mpira kumgonga kwenye goti
Dakika ya 65 Libya inapata faulo kuelekea Tz
Dakika ya 64 Samatta anachezewa rafu
Dakika ya 63 Nchimbi anakosa bao
Dakika ya 62 Khaalid anaingia anatoka Ally kwa Libya
Dakika ya 61 Kaseja anaanisha mashambulizi baada ya kuokoa hatari, kadi ya njano kwa mchezaji wa Libya kwa kumchezea rafu Yassin
Dakika ya 60 Libya inapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 59 Samatta anabanwa nje kidogo ya 18
Dakika ya 58 Kaseja anaanzisha mashambulizi
Dakika ya 57 Kaseja anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 55 Libya wamechangamka mwanzo mwisho kuna kitu wanakitafuta
Dakika ya 55 mabeki wa Stars wanafanya uzembe ndani ya 18
Dakika ya 54 anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 53 Kaseja anaokoa haari ndani ya 18
Dakika ya 52 Msuva anachezewa rafu, shambulizi la haraka halizai matunda
Dakika ya 51 Kess anaingia akichukua nafasi ya Salum Kimenya
Dakika ya 50 Kimenya anarusha kwa Nchimbi anapokwa na wanacheza rafu Tz
Dakika ya 49 Farid Mussa analeta majalo yanakataliwa na beki wa Libya
Dakika ya 48 Nondo anachezewa rafu
Dakika ya 47 Stars inapata kona baada ya Msuva kufanya jaribo moja zuri akiwa nje ya 18
Mapumziko kwa sasa
Zinaongezwa dakika 2
Mabeki wa Stars wanajichanganya na kusababisha kona nyingine
Dakika 45 zinakamilika kwa Nchimbi kupokwa mpira
Dakika ya 44 Sureboy, Msuva beki wa Libya inatibuka na safu ya ulinzi ya Stars inazidiwa na mshambuliaji wa Libya anayepaisha mpira
Dakika ya 43 Nchimbi anapoteza mpira
Dakika ya 42 Safu ya ulinzi ya Stars inazembea pasi ya hatari ndani ya 18 haizai matunda
Dakika ya 41 Farid Mussa anapiga shuti akiwa nje ya 18 linadakwa na mlinda mlango wa Libya
Dakika ya 40 Kaseja anaanzisha mashambulizi, inarudishwa ndaani ya 18 ya Stars inaanuliwa na Mzamiru na kupigwa kona
Dakika ya 39 Samatta anarusha mpira, Kaseja anaanua majalo
Dakika ya 38 Nchimbi anacheza faulo kwa mchezaji wa Libya
Dakika 37 Farid Mussa anachezewa rafu
Dakika ya 36 Zimbwe anaanza kurusha mpira,Msuva, Sureboy, Mzamiru, Kimenya inarudishwa TanzaniaDakika ya 35 Samatta anachezewa rafu
Dakika ya 34 Samatta anapiga faulo makini inambabatiza mlinzi wa Libya inakuwa kona inapigwa kona fupi na Kimenya inapotea
Dakika ya 33 Msuva, Samatta, Zimbwe, na Samatta anachezewa fauloDakika ya 32 Mzamiru anapeleka kwa Kimenya, Zimbwe anapeleka mbele hakuna mchezaji wa Bongo
Dakika ya 31 Kimenya anaokoa hatari ndani ya 18 inapigwa kona na Kaseja anainyaka
Dakika ya 30 Msuva anazuiwa kusonga mbele na Libya
Dakika ya 29 Kimenya anacheza faulo Dakika ya 27 Kaseja anaokoa hatari langoni
Dakika ya 26 Mwanyeto anaokoa Dakika ya 25 Libya inaingia ndani ya 18 na wanapata kona
Dakika ya 24 Mwanyeto anaokoa hatari ndani ya 18 licha ya kupinduliwa na mshambuliaji wa Libya
Dakika ya 21 Yondani anapoteza mpira
Dakika ya 20 Sureboy kwake Msuva, Kimenya, Sure boy
Dakika ya 19 Msuva anahofia kuufuata mpira unadakwa na mlinda mlango wa Libya
Penaltii inapigwa na Mbwana Samatta inazama moja kwa moja wavuni dakika ya 16 kwa utulivu kabisa.
Dakika ya 16 Msuva anachezewa rafu ndani ya 18 kwa kuchezewa rafu na mabeki wa timu ya Libya.
Dakika ya 6 Kaseja alianguka baada ya kugongana na beki wa Libya.
Msuva hatariiiiiiii😁😂😀
ReplyDeleteHakuna penati hapo,refa alishakuja na matokeo yake.
ReplyDelete