November 18, 2019

8 COMMENTS:

  1. Simba ndo baba lake huyo nyang'au, anasubili kuiga tena

    ReplyDelete
  2. Simba ndo baba lake huyo nyang'au, anasubili kuiga tena

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hakuna kuiga kwenye mpira eti???!!!maana kwa Tanzania alianza Azam na kufuatiwa na Gwambina FC. Je wewe uliiga wapi???mpira ni mfumo tu...maendeleo ni msingi wa kila siku katika maisha ya mwanadamu...ukianza leo ujue kesho atafuata mwengine

      Delete
  3. hawa simba wana tatizo kubwa sana !! yaani Yanga akijenda uwanja watasema wamewaiga Simba !!!
    naona yanga inawasumbua sana maana hawaishi kuitaja midomoni mwao na kweli sasa naamini kua bila Yanga hakuna Simba

    ReplyDelete
  4. Kati ya simba na yanga yupi anapenda kufuatilia mambo ya mwenzake tumeanzisha gazeti la simba na nyie hao tumeanzisha Simba day na nyie mara cku ya wananchi mmezishangilia timu zote mwaka jana zilizocheza na simba kimataifa alafu mkiambiwa mnaiga unakasirika?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic