July 30, 2019


SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa kesho ndio mwisho wa usajili kwa wachezaji wa ndani.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo amesema kuwa hakuna muda mwingine wa nyongeza kwa wale ambao bado hawajakamilisha zoezi.

"Julai 31 zoezi la usajili linafungwa jumla na hakuna muda wa kuongeza kwa wale ambao hawajakamilisha usajili.

"Kwa wale ambao wanendelea wasisahau kukamilisha usajili wao na kuwasajili wachezaji kwa njia ya mtandao yaani TFF Connect," amesema.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic