August 2, 2019

TIMU ya Taifa ya Tanzania leo imewasili salama nchini Kenya katika jiji la Nairobi.

Stars imeweka kambi katika hotel ya Windsor Golf ikiwa ni maalumu kwa ajili ya mchezo wa marudiano na Kenya utakaochezwa Agosti 4.

Maandalizi ya mwisho ya Stars yataanza kesho kuelekea mchezo huo utakaochezwa Jumapili kwa ajili ya kufuzu michuano ya Chan.

Stars inatakiwa ishinde ili kufuzu michuano hiyo kwani mchezo wa kwanza Dar walilazimisha sare ya bila kufungana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic