Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam leo Julai 1, 2021 imepokea kesi ya kupinga uchaguzi wa TFF na imemtaka Rais wa Shirikisho hilo, Mwenyekiti wa Uchaguzi na Bodi ya Wadhamini ya TFF, kufika Mahakamani hapo Ijumaa Julai 2, 2021 saa 3 asubuhi kujibu hoja za kwanini uchaguzi huo usisimamishe.
Faida ya figisu
ReplyDeletePiga spana na nati zikazwe kwa nguvu zote hadi akili ziwakae sawa.
ReplyDeleteMichezo yote aliyoicheza na genge lake la watu wa figisu figisu tunaijua
So anataka ashiriki peke yake wenzio wangefanya hivyo angepata wapi nafasi ya kushiriki
ReplyDeleteHukumu bado lkn, figisu zinahitaji ushahidi
ReplyDeleteYule mama aliyechukua fomu huku akijua hana vigezo na wajumbe waliomdhamini MTU asiye na vigezo TAKUKURU iwachunguze huenda walitumwa kuvuruga uchaguzi
ReplyDeleteNdo ujanja alioutumia kuwapumbaza watu akidhani watu hawajui kilicho nyuma ya pazia
Deletekarria anazingua sawa sawa tu mwache yamkute
ReplyDeleteKanuni za uchaguzi haziko vizuri, wajumbe walioshiriki kuzitunga na kuzipitisha hawakuangalia vizuei, zinamjengea nafasi na wigo aliyeko madarakani kumtoa ni ngumu. Ni kama katiba yetu tuliyonayo
ReplyDeleteuko sasa 100%
DeleteKaeia mjinga sana, anadhan hizi ni enzi za upuuzi, inawezekanaje awe mgombea peke yake? Kwa sababu anajua haitajiki mahali anaogopa kushindana, akae kwa kutulia
ReplyDeleteNimecheka kidogo, yaani siasa imetuharibia kila kitu. Kwenye chaguzi zote mwenye madaraka hakodi vigezo, wapibzqni wote wanakuwa na kasoro, mara hawajui kuandika, mara wanekisea majina, mara hawana wadhani, typical chaguzi za kisiasa, wapinzani ndio hukosea kujaza form ccm wote werevu!
ReplyDeleteMnamlaumu bure Karia wa watu ilihali kanuni za uchaguzi zilipitishwa na mkutano mkuu. Uchaguzi utafanyika kama ulivyopangwa
ReplyDeleteHaki itendeke na ionekane ikitendeka, figisu figisu za uchaguzi kwa nchi kubwa kama Tanzania lazima zikemewe kwa nguvu zote, watu wenye uwezo wakuongoza TFF ni wengi, ni dhahiri mambo ya kupitisha mgombea bila kupingwa ni mpango uliofanywa na walioko madarakani ili waendelee kutawala kiujanja ujanja.
ReplyDeleteYeye Karia angewekewa mazingira hayo angekuwa hapo alipo?
Pongezi kwa mahakama kwa kujitambua lakin mamb kama hay kweny uchaguzi mkuu wa vyama vya siasa uwa yanatokeaga lakn cjui nikumbukumbu yangu nimepotez cjawah kuona munakemea ujanja ujanja kama huu!
ReplyDeleteKama uchaguzi utafanyika na mgombea atakuwa mmoja tu,Hali ya kimichezo itakuwa haipo
ReplyDeleteHivi kweli wasomi na wataalam wa mambo ya michezo wapo?mbona naona Sasa tu.kumbe kocha wa zamani wa kagera sugar alisema ukweli .
ReplyDelete