April 28, 2016


Bondia Tyson Fury haishi vituko aisle. Hii ilikuwa jana lakini ache tu nikupe kidogo.

Ilikuwa ni wakati wa kutangaza bambino lao la maruduiano la ubingwa WBA na WBO katika uzito wa juu kabisa dhidi ya Wladimir Klitschko.

Wakati wa kutangaza pambano hilo, kwanza kaingia na warembo ambao kwenye makalio kuna herufi zinazounda jina lake.

Kama haitoshi, akaanza kumshangaa Klitschko kushindwa na mtu kama yeye ambaye alijiita bonge. Akavua shati na kuonyesha tumbo lake.

Tyson aliendelea kuendelea kusisitiza kushangazwa na mpinzani wake asiyeweza kuonyesha uwezo wake na kumshinda bonge kama yeye.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV