KIKOSI cha Simba, mabingwa watetezi waLigi Kuu Bara kinatarajia kuwkea pipa leo asubuhi kuelekea nchini Msumbiji kemnyana na UD do Songo.
Simba itakwea kwa ndege binafsi ili kukwepa usumbufu wa kuunganisha ndenge mbili iatamenyana na wapinzani wake kesho kwenye mchezo wa awali.
Kabla ya kukwea pipa leo, jana kikosi kilifanya mazoezi ya mwisho Dar ili kurejea kwenye ubora wao baada ya kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Power Dynamo.
Habari zinaeleza kuwa kwenye safara huo nyota wake wanne watakosekana ambao ni pamoja na Ajibu, Mbrazil Wilker na Manula ambao ni majeruhi huku mkali wa mipira iliyokufa Shamte akichelewa dirisha la usajili la Caf.
0 COMMENTS:
Post a Comment