September 6, 2019


BABA wa msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Mzee Abdul Juma amefunguka kuhusu uamuzi wa msanii Harmonize kuondoka kwenye Lebo ya WCB ambayo inamilikiwa na mwanaye huyo Diamond.

Akipiga story na moja ya Televisheni ya mtandaoni nchini, Baba Diamond amesema kuwa; ” Harmonize alianza kuonyesha dalili toka mwanzo za kuondoka WCB baada ya kuanza kufanya shoo binafsi nchi za nje, kitu kilichomfanya ajione ana jina kubwa kuweza kusimama mwenyewe. ”

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic