Kwanini siku zote vibali na leseni inakuwa ngumu kupatikana kwa Yanga pekee na siyo Azam au Simba???. Jamani tatizo ni nini katika utendaji wa viongozi wa Yanga haswa huyu anayeitwa Mratibu wa Timu ya Yanga Hafidh Saleh....matatizo ya mawasiliano na CAF yanajirudiarudia kwanini?

ReplyDeleteKutokujua taratibu na lugha pia inachangia .
ReplyDeleteUjuaji wa maneno bila vitendo. Inferiority complex. Kudhani kila mara wanaonewa na kulalamika kusiko na tija.
ReplyDeleteHuu ni uzembe wa viongozi
ReplyDeletekaseja ana miaka mingapi
ReplyDelete