EXCLUSIVE! HAJI MANARA AMTOLEA UVIVU MKUU WA MKOA KAGERA, AAMUA KUMCHANA LIVE
Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, kuhusiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali, Marco Gaguti juu ya kauli yake ya kuwataka Wanakagera waishangilie Kagera Sugar pekee. "Kama kweli RC huyu mwenye cheo kikubwa kijeshi kasema haya, basi tuna kazi kubwa sana katika ustawi wa mpira wetu.
.
"Utaweza kuifunga midomo ya Wanasimba kwa plasta au gundi gani?
Kitu pekee kitakachowanyima fursa ya kuishangilia leo Simba uwanjani ni bunduki tu.
Tutashangilia na Insha'Allah tutawafunga halafu uje utuweke lock-up kwa cheo chako!! Sijui baadhi ya viongozi wetu wanakwama wapi?
Yaani utuzuie kushangilia timu yetu ndani ya nchi yetu?
Haya tunaita madaraka ya kulevya ambayo Rais wa nchi hii hayataki!!."
Sasa kosa la mkuu hapo nini
ReplyDeletemana anahamasisha WANANCHI Washabikie TIMU yao ya MKOA.
Tjme wilk tell, just wait.
ReplyDeletehata wapenzi wa Barcelona ambao ni wakazi wa Valencia hua wanaishangilia Valencia pale wanapocheza na Barcelona na wanawashangilia Barcelona pale wanapocheza mechi nyingine na huo ndio uzalendo Haji!! kushangilia timu ingine dhidi ya timu ya jimbo lako au Taifa lako ni ushamba na fikra za ukoloni mambo leo . angalia timu zote za Europe zinapocheza kwao ndio utajua !! au nadhani unajua hilo ila hutaki kulikubali !
ReplyDeleteHaji Manara is the big BRAND.Brother u know how talk
ReplyDeleteVIMA MATUPU!
Deletesasa manara unataka kwenda mbali ambako utapoteza weledi wako. kauli ya kuu haiko na ubaya, ameomba wanakagera waishangilie timu ya mkoa wao, hapo dar kuna timu nyingi sio rahisi RC aseme wa dar waishangilie ama simba ama yanga, lkn kwa kagera ni kagera suger pekee na ndio timu imepewa jina la Mkoa huo. sasa ww kuja na kumtemea cheche RC ni uovu wa nidhamu, ww usilewe madaraka baada ya kurudishwa kazini.
ReplyDeleteNo one can ever corner Mr Manara, a real brilliant professional who knows what he says
ReplyDelete