MANARA AMCHANA TENA HASSAN BUMBULI YANGA KIMTINDO Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, alivyotuma tena ujumbe mwingine kwa Hassan Bumbuli ambaye ni Ofisa Habari wa Yanga, hii ni baada ya kumsema kuwa yeye amekuwa ni mtu wa propaganda.
huy tahira tka timu ya imetoka amekuwa analopoka lopoka tu Yanga akili nyingi waachane na mwehu huyo
ReplyDeleteBwana salehe, mda wa kuposti ujinga unapata wapi, na unamhabarisha nani
ReplyDeletesi alianza yeye kwani manara alimwambia amkejeli?
ReplyDelete