Jamaa yupo vizuri kwenye wimbo wake.Na kwa hakika Magufuli na timu yake wanastahiki pongezi kwa wanayoyafanya kwa Taifa letu. Ilikuwa vigumu kufikiria kuwa Africa inaweza kutoa kiongozi wa aina ya Magufuli katika zama hizi kwani sifa halisi za kiongozi wa Africa ni kuendekeza utakatifu wa cheo chake kuliko utakatifu katika matendo yake kwa manufaa ya umma. Hata America kusini inaendelea kuteseka kutokana na ukosefu wa Magufulifire kinda a leader. Brazil walibahatika kuwa na yule mzee Lula Da Silver ambae hafla tu aliifanya Brazili kuwa Taifa lenye uchumi uliokuwa unakuwa kwa kasi ya ajabu kiasi cha kuelekea kuipeleka Brazil kuwa Super power mtarajiwa kwenye kipindi kifupi chini ya utawala wake na kuyatisha mataiafa makubwa Duniani lakini cha kushangaza Mara tu Lula na chama chake chini ya Raisi mwanamama wakafanyiwa zengwe lilosababiswa na matokeo ya vita ya kiuchumi kiasi cha kuporwa madaraka ya kuiongoza nchi hiyo na Brazil ya leo chini ya Raisi anaeungwa mkono na wababe wa Dunia ni Brazil ya kusikitisha. Watanzania na waafrica tunamengi ya kujifunza na kile kinachoendelelea America kusini. Tatizo kubwa la Lula ni kule kutaka kuiondosha Brazil chini ya makucha ya wababe hao wa Dunia na salama yeye kwamba bado yupo hai ingawa anakufa taratibu gerezani.Ni vitu vya kutafakari sana hizi hila za wazi kabisa ambazo hakika ni changamoto kwa nchi zinazoendelea hasa za Africa katika kujenga uchumi tegemezi.

ReplyDelete