NI HATARI!! MVUA MKOANI TANGA YALETA MAAFA TAKRIBANI WATU 8 WAFARIKI
Imeelezwa takriban watu nane (8) wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya gari aina ya Noah kutumbukia kwenye daraja katika eneo la Sindeni barabara kuu ya Handeni, Korogwe, Tanga.
Ajali hiyo imetokea kutokana kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Mkoani Tanga.








Mungu azipumzishe mahali pema peponi ndugu zetu marehemu
ReplyDeleteAMINA