Alichokiandika Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuhusiana na wachezaji wa kitanzania juu ya alichokifanya Mbwana Samatta.
Home
»
Kimataifa
»
Kitaifa
» SAMATTA AMUIBUA KIVINGINE HAJI MANARA, AWALILIA WACHEZAJI WA KITANZANIA
October 24, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Amesahau kuwa amechangia Ajibu asiende TP mazembe akarudi Simba unafiki mbaya sana
ReplyDeleteTatizo la Mikia fc ndio hilo,wepesi sana wa kusahau
DeleteKipi cha ajabu ktk timu ya TP Mazembe ambayo ilishindwa kuipiku Simba ktk dau waliompa Ajib? Kama TP Mazembe walimhitaji sana Ajibu basi wangetoa dau kubwa zaidi la waliotoa Simba. Pia mpira ni maisha kama maisha mengine na maaumuzi ya mchezaji mwenyewe anavyojisikia na huwezi kumlazimisha kwa wewe mshabiki unavyotaka kwani na wewe una maumuzi ktk maisha yako.Mfano mzuri ni wa Haruna Moshi aliyeenda kucheza soka nchini Sweden ambaye hata mwaka hakumaliza na akaamua mwenyewe kurudi nyumbani licha ya wadau wa soka kumbembeleza avumilie ili aendelee kucheza nchini Sweden.Hivyo ktk maumuzi ya maisha yako yanabaki kuwa yako wewe binafsi na familia yako na sio meneja wala, wadau au timu husika unayochezea.Nakubaliana kuwa ushauri ktk maisha unahitajika lkn maumuzi ya mwisho ktk maisha ni wewe mwenyewe binafsi hivyo msitake kutumaanisha kuwa Ajib kutocheza TP Mazembe ndio mwisho wa maisha yake.
Delete