Simba imecheza mechi yake ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mechi zijazo za Ligi Kuu Bara msimu huu.
Katika mchezo huo, uwanja wa Lake Tanganyika ulionekana kuwa na changamoto haswa kwa Simba kutokana na vipara vingi na sehemu kadhaa zikiwa hazina nyasi.
Mapema baada ya mechi kumalizika, Beki Yusuph Mlipili, amesema wangeweza kushinda zaidi ya bao tatu lakini uwanja ulikuwa shida kwao.
"Uwanja kwakweli upande wetu ulikuwa na changamoto nyingi.
"Tungeweza kushinda zaidi ya bao tatu, hii imepelekea tushindwe kucheza kama ambavyo tumezeoa kucheza siku zote," amesema Mlipili.
Waandishi wa hiki chombo cha habari mmepitiliza mapenzi yenu kwa Simba kuliko kuandika habari kufuatana na miiko na kanuni za taaluma yenu
ReplyDelete