October 23, 2019


MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa hawana mashaka na mchezo wa leo dhidi ya Azam FC utakaochezwa uwanja wa Taifa.

Simba itaikaribisaha Azam FC kwa mara ya kwanza msimu huu ambapo inakumbukumbu ya kuvuna pointi nne msimu uliopita.

Kagere amesema kuwa:" Tupo tayari kwa ajili ya kupambana na tunahitaji matokeo chanya, imani yetu tutafanya vizuri kwenye mchezo wetu,".

Kagere alifunga mabao mawili kwenye ushindi wa mabao 3-1 uwanja wa Taifa ni kinara wa mabao ndani ya ligi akiwa ametupia sita mpaka sasa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic