IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameondolewa ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kutokuwa na mwenendo mzuri ndani ya kikosi hicho.
Habari kutoka ndani zinaeleza kuwa Zahera alitakiwa atoe ripoti ya mechi zake zote za kimataifa ili kamati iamue hatma yake ambapo kamati imeamua kumpiga chini.
Jitihada za Saleh Jembe kuutafuta uongozi wa Yanga zinaendelea ili kupata undani wa habari hizi tutaendelea kukujuza.
Arudishwe kwao.
ReplyDeleteEnter your comment...hapana wamemuwahisha mno, ujue tulikuwa tunamsubiri mwishoni mwa ligi tuone kama kweli molinga atafunga mabao 20 kinyume na hapo aliomba akatwe mkono
ReplyDeleteIlibidi timu haina muunganiko na kupendelea baadhi ya wachezaji huku akibagua baadhi
ReplyDeleteFaini za kutosha, ujuaji, dharau, fikra butu na mambo mengi ni lazima yamuondoe kocha
ReplyDeleteKwa maoni yangu ni mapema mno kumpiga Zahera chini.
ReplyDeleteWakati muafaka kwa ajili ya mustakabali wa timu
ReplyDelete