KEJELI ZA HAJI MANARA KWENDA YANGA BAADA YA ZAHERA KUFUKUZWA KAZI - VIDEO
Ofisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara amepost kupitia instagram yake baada ya uongozi wa Yanga kumfukuza kocha Mkuu Mwinyi Zahera na kusema kuwa mashabiki na pamoja na uongozi wa Yanha hawana uvumilivu.
0 COMMENTS:
Post a Comment