Unaweza ukatazama mabao yote ya Pyramids FC dhidi ya Yanga katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hapa.
Home
»
Kimataifa
»
Kitaifa
» TAZAMA MABAO YA PYRAMIDS 3-0 DHIDI YA YANGA, KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA - VIDEO
November 4, 2019
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








Dawa ya Mgonjwa ni kufanya upasuaji ili kuondoa kiini cha ugonjwa sio kumpatia chakula ukitegemea kiini kitaondoka....Tatizo ni benchi la ufundi limefikia ukomo wa uwezo hiki ndicho chanzo cha mashabiki kushinikiza kuondolewa kwa Kocha au Mabadiliko kufanyika. Hata ukisajili akina Messi na Ronaldo kama ufundishwaji ni poor usitegemee ushindi. Yanga hii inahitaji uwekezaji bora ambao unaendana sambamba na benchi la ufundi lililo bora....Uongozi wa Yanga unajivutavuta na kujificha kwenye kichaka na kivuli cha Zahera lakini ukweli ni kuwa Kocha huyu hatawafikisha popote....mbinu zimegota...
ReplyDelete