Baada ya kuzuka mengi juu ya hatma ya Yanga na Kocha wake Mkuu, Mwinyi Zahera, uongozi wa klabu hiyo kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Fredrick Mwakalebela umefunguka yafuatayo juu ya kocha huyo.
UONGOZI YANGA WATOA TAMKO JUU YA KIBARUA CHA KOCHA ZAHERA - VIDEO
Baada ya kuzuka mengi juu ya hatma ya Yanga na Kocha wake Mkuu, Mwinyi Zahera, uongozi wa klabu hiyo kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Fredrick Mwakalebela umefunguka yafuatayo juu ya kocha huyo.








Mwinyi Zahera is an average coach ambaye anatumia mdomo kuwahadaa wanayanga na amefanikiwa kuiba akili za baadhi ya mashabiki wasiojua ukweli wa mambo..na maajabu ni kwamba ukubwa wa Yanga hauendani na picha halisi ya benchi la ufundi lililopo haliakisi ukubwa na jina la Yanga....mwalimu amekuwa akitumia muda mwingi kwenye media na propaganda za soka kuliko kuibadilisha timu....Uamuzi ni wa wanayanga wenyewe kubadilika na kuleta mageuzi kwa maslahi mapana ya klabu yao ambayo ni kubwa na ni kongwe...ili heshima iwepo...walio wengi hawapendi wanayoyaona....
ReplyDeleteDawa ya Mgonjwa ni kufanya upasuaji ili kuondoa kiini cha ugonjwa sio kumpatia chakula ukitegemea kiini kitaondoka....Tatizo ni benchi la ufundi limefikia ukomo wa uwezo hiki ndicho chanzo cha mashabiki kushinikiza kuondolewa kwa Kocha au Mabadiliko kufanyika. Hata ukisajili akina Messi na Ronaldo kama ufundishwaji ni poor usitegemee ushindi. Yanga hii inahitaji uwekezaji bora ambao unaendana sambamba na benchi la ufundi lililo bora....Uongozi wa Yanga unajivutavuta na kujificha kwenye kichaka na kivuli cha Zahera lakini ukweli ni kuwa Kocha huyu hatawafikisha popote....mbinu zimegota...
Je akija kocha mpya hiyo timu itabadilika haraka? Leteni huyo kocha mpya na usajili mpya januari mkikutana na mnyama mtakula 6-0 kwa uchache. Fanyeni utafiti wa kina mpate majawabu yote. Ikiwa Yanga inashindwa kutengeneza wachezaji aina ya Ajibu, Mkude toka timu yao ya vijana na badala yake kuokoteza mtaani tegemeeni machungu na kufukuza makocha kwa kutamani mafanikio ya haraka.
DeleteTatizo kubwa la Yanga ni kusahau msingi uliojengwa na makocha Victor na Tambwe badala yake kuishi kwa kupapasa na kutaka kushindana na Simba pasipo mipango thabiti.
Timu na wachezaji hupewa moyo ili wajiamini na kufanya jambo lakini hutukana wachezaji kisha tunataka wafanye maajabu!!