TANZANIA Prisons ni moto wa kuotea mbali msimu huu kwani mpaka sasa kwenye mechi zake 9 ilizocheza haijapoteza mchezo hata mmoja.
Imejikusanyia jumla ya pointi 15 kwa sasa ikiwa ipo nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara.
Imeshinda jumla ya mechi tatu na imetoa jumla ya sare sita ambazo zinaifanya iwe timu pekee ambayo haijapoteza mchezo mpaka sasa.
Ina kibarua Alhamisi kumenyana na Simba uwanja wa Uhuru ikiwa ni mchezo wake wa 10.
Simba imetoka kushinda kwa mabao 4-0 mbele ya Mbeya City huku ikiwa imeshatunguliwa bao 1-0 na Mwadui FC kwenye mechi yake ya saba iliyochwezwa uwanja wa Kambarage Shinyanga.

awam hii atakaa sasa kwa mnyama
ReplyDelete