November 3, 2019

8 COMMENTS:

  1. Ilivyokuwa 0-0 mpaka dakika 27 kipindi cha kwanza hakuna aliyepost link ya kuangalia game. Lakini ilipofikia Yanga amefungwa link ikapostiwa haraka Yanga wajipange na "mtandao mkubwa wa maadui wakiwemo waandishi wa habari na vyombo utitiri visivyoitakia mema klabu!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kakojoe ukalale ww hujui kama harakat za link nikaz na huko ni mbali

      Delete
  2. Kwani ingekuwa 0-0 ndio Yanga angekuwa mshindi. Amefungwa nyumbani kule ni kukamilisha ratiba. Acheni porojo za njama .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Issue sio nani ameshinda issue ni kuwa kwanini wamechelewesha kuposti link hebu jitahidi kuwa na akili ya kuelewa

      Delete
  3. Pooleni saana wana jangwan kifo chenu ni cha kila mtz


    ReplyDelete
  4. Kumtoa Makame kulifanya beki ielemewe hata alipoingia Fei alikuwa hana ubavu na kimo cha urefu kupambana kwa mipira ya katikati, na matokeo yake Lamine na Ali Ali kutumia nguvu nyingi mwishowe kusababisha kuumia...bado benchi la ufundi limeendelea kufanya makosa kwenye substitutions...kwa mara nyingine. Kulikuwa hakuna haja ya Kumtoa Balinya timu ilishindwa kushambulia....Sadney alionekana peke yake kule mbele

    ReplyDelete
  5. Yaani hasira zenu za kufungwa mnahamishia kwenye mitandao ya kijamii na waandishi wa hbr wkt hao hao kila cku ndo wanawapa ooh mara sijui timu ya wananchi wanaenda kupindua meza leo mnawaona co poleni sana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic