December 9, 2019


HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa kwa sasa kikosi chake kinaendelea kujipanga kwa ajili ya mechi za ligi kuu ili kuleta ushindani.

Thiery ameongoza kikosi chake kwenye mechi 12 ikiwa nafasi ya 7 imeshinda mechi sita, sare moja  na imepoteza mechi tano.

Akizungumza na Saleh Jembe, Thiery amesema kuwa ushindani ndani ya ligi ni mkubwa jambo ambalo linafanya nao wapambane kutafuta matokeo.

"Ushindani ni mkubwa ndani ya ligi na kila timu inapambana kupata atokeo chanya ndani ya ligi, nina imani tutafanya vizuri kwenye mechi zetu zinazofuata," amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic