Kufuatia comeback ya hatari iliyoonesha na Yanga juzi dhidi ya Simba kwa kufunga jumla ya mabao mawili mechi ikimalizika kwa matokeo ya 2-2, wadau na mashabiki wengi wamemtaja kipa Farouk Shikhalo kutibua mipango.
Mashabiki na wadau hao wamesema kunako kipindi cha kwanza kulikuwa na kosakosa kadhaa zilizofanywa langoni mwa Yanga ambazo pia Shikhalo alikuwa mhimili.
Kipa huyo ambaye ni raia wa Kenya, jana aliokoa michomo kadhaa ambayo kwa umahili wake ulisaidia kuweza kuikoa Yanga kukumbana na kipigo.
Wengi wameeleza kuwa isingekuwa yeye ingewezekana Yanga wangeweza kufungwa kutokana na Simba walitawala sehemu kubwa ya mchezo kuliko wapinzani wao.
Na asingekuwa refa Yanga wangeifunga Simba 3-2
ReplyDeleteKwanini 3 na sio 7 Yanga timu kubwa wewe
DeleteSasa golikipa kazi yake nini
ReplyDeletewangemwambia manula achomoe mchomo wa kipenseli ili akanunue nyonga india. degea anafungwa magoli yale kila siku halafu wanamlaumu manura wanajikausha tu kumsifu kipenseli. Watz na roho mbaya.
DeleteMtabakia hivo hivo mngeshinda mgenshida mbona hamkushinda acheni sitori man u anakuja anapigwa tatu moja husikia mashabiki wa city wanaongea mwwaka mzima kipofu kaona mwezi inakushida haswaa kila mtu
ReplyDeleteYanga bhana. Sasa subirini fainali ya Mapinduzi Cup kule Amaan mkione cha moto.
ReplyDelete