January 23, 2020


Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema maamuzi yaliyofanywa na viongozi wa Yanga tangu kuanza kwa msimu huu ni mabaya.

Zahera ameeleza kuwa maamuzi hayo ni pamoja na kumfukuza yeye, kumuweka Boniface Mkwasa na baadae kumleta Luc Eymael ni mabaya.

Anasema yeye hakuanza vibaya ligi kwani alicheza mechi 4 na kukusanya pointi 7 kati ya 12 lakini walimuondoa.

Baadaye akaja Mkwasa ambaye naye alienda vizuri lakini ameondolewa kabla ya msimu kuisha, na sasa ameletwa kocha Luc Eymael huku timu ikionekana kusuasua.

Tazama video kamili ya Zahera akizungumza hapa chini

2 COMMENTS:

  1. Atuachie timu yetu huyo Zahera,maamuzi ya viongozi wa Yanga hayawahusu aende kwao kongo

    ReplyDelete
  2. Maneno ya Zahera yangekua na maana zaidi Kama Yanga ingepoteza dhidi ya Singida

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic