Cioaba amewashinda makocha wenzake wawili ambao ni Sven Vandenbroeck wa Simba na Malale Hamsini wa Polisi Tanzania alioingia nao fainali.
HUYU HAPA KOCHA BORA WA MWEZI JANUARI, MZUNGU WA SIMBA NA MALALE HAMSINI WAPIGWA KIKUMBO
Cioaba amewashinda makocha wenzake wawili ambao ni Sven Vandenbroeck wa Simba na Malale Hamsini wa Polisi Tanzania alioingia nao fainali.

0 COMMENTS:
Post a Comment