February 10, 2020


IMEELEZWA kuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola yupo kwenye harakati za kuondoka ndani ya Simba ili aongeze ujuzi wake kwenye taaluma ya ukocha.

Habari zinaeleza kuwa Matola atasepa ndani ya Simba Machi 3 na kuibukia makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambapo atakuwa kwenye kozi maalumu ya ukocha itakayompandisha hadhi ya kukaa kwenye benchi la ufundi akiwa ni Kocha Mkuu.

"Machi 3, Matola anasepa ndani ya Simba na atarejea Aprili 10 hatakuwa na timu kabisa hivyo atatafutwa kocha mpya," ilieleza taarifa hiyo.

3 COMMENTS:

  1. Kumekucha nn Sasa hapo? Mtu anaenda kusoma ndio unasema kumekucha as if Kuna Ugomvi

    ReplyDelete
  2. Enter your comment...af kusoma kwenuewe et tff ahahaha et ndo kumekucha je angeenda No,rway

    ReplyDelete
  3. Anasepa kwa makubaliano au anavunja mkataba?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic