February 29, 2020

UONGOZI wa Yang
a umesema kuwa sababu kubwa ya muda wa mpira kubadilishwa mara kwa mara ni kutokana na timu ya Taifa ya Uganda kutaka kuutumia Uwanja wa Taifa kwa mazoezi.

Akizungumza na Saleh jembe, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga Atonio Nugaz amesema kuwa timu ya Uganda ya wanawake ilikuwa inahitaji kupata muda wa mazoezi.

"Timu ya Taifa ya Uganda ilikuwa inahitaji kupata muda wa kufanya mazoezi jambo ambalo lilichangia muda wa mpira kubadilika mara kwa mara," amesema.

Yanga itamenyana na Alliance Uwanja wa Taifa saa 1:00 jioni awali ulipangwa ucheze saa 10 na baadaye ulipelkwa mbele saa 11.

3 COMMENTS:

  1. Mmekubali kwa nia safi lakini mkifungwa mtasingizia TFF wamehujumu.Vyura Kweli hawaachi kelele

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic