February 29, 2020


ABDALLAH Shaibu 'Ninja' ambaye ni beki na mshambuliaji kinda Nassor Mohamed aliyekuwa anakipiga Mtibwa B wamepata dili la kusepa kuelekea nchini Serbia kukipiga soka lao.

Ninja anakwenda timu ya RIGA FS nchini LATVIA na Nassor Saadun anakwenda nchini Serbia kuichezea OFK ZARKOVO.

Nyota hao wote wawili wamesajiliwa kwa kandarasi ya miaka miwili kuzitumikia timu hizo.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ninja amesema kuwa mpango mkubwa ni kujituma ili kufikia malengo yake.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic