February 29, 2020

FELIX Minziro, Kocha Mkuu wa Alliance amesema kuwa wanatambua wana kazi ngumu ya kufanya leo mbele ya Yanga ila wapo tayari hawana hofu.

Alliance itakaribishwa na Yanga Uwanja wa Taifa majira ya saa 11:00 jioni ikiwa ni mchezo wa pili kukutana msimu huu kwenye ligi.

Minziro amesema: "Tunawatambua wapinzani wetu hatuna hofu nao kwani wachezaji wapo sawa nasi tutapambana kupata pointi tatu muhimu,".

Mchezo wa kwanza Alliance ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

3 COMMENTS:

  1. LEO Yanga anafungwa 1-0
    Hutaki acha.

    ReplyDelete
  2. Katika historia hata siku moja hakuna timu anayofundisha Minziro ikaifunga Yanga. Sijui ni kwa bahati mbaya au vipi hilo siwezi kulisemea

    ReplyDelete
  3. Hata bila Minziro lini Alliance iliifunga Yanga?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic