February 4, 2020

MOSES Kitandu na Eliuter Mpepo wametwaa Kombe la Ngao ya Hisani kwa kuitungua UD Songo ya Msumbiji kwa penalti.
Mpepo na Kitandu ambao ni raia wa Tanzania wanakipiga ndani ya Klabu ya CD Coasta do Sol ya Msumbiji.

Kwenye mchezo huo ndani ya dakika tisini walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 hali iliyopelekea kuoigwa mikwaju ya penalti na timu ya Watanzania hao kushinda kwa penalti 7-6.

Kitandu amesema kuwa ni mwanzo mzuri kwake pamoja na Mpepo wataendelea kupambana kufikia malengo yao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic