TANZIA; ASHA MUHAJI, ALIYEKUWA OFISA HABARI WA SIMBA AFARIKI DUNIA ASHA Muhaji, mwandishi mwandamizi wa michezo nchini amefariki dunia leo alipokuwa akipatiwa huduma ya afya. Asha aliwahi Ofisa Habari wa Klabu ya Simba amekutwa na mauti hiyo alipokuwa Hospitali ya Hindu Mandal Jijini Dar es Salaam.
Innalillah wainna illeikh rajium. Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi...AMINA
ReplyDelete