March 30, 2020



IMEELEZWA kuwa nahodha wa Yanga, Papy Tshishimbi ameongeza kandarasi ya miaka miwili kuendelea kukipiga ndani ya klabu hiyo.

Kulikuwa na sarakasi za mkataba wa nyota huyo ambaye kandarasi yake imebaki miezi minne kumeguka.

Habari zinaeleza kuwa mtikisiko wa Simba kudaiwa kuwa wanaiwinda saini yake umewafanya mabosi wamuite mezani kumalizana naye.


 "Yote mema licha ya tafrani hivi karibuni ndani ya kamati zetu tendaji, tumefanikiwa kumuongezea Tshishimbi kandarasi ya miaka miwili,mvutano ulikuwa mkubwa lakini mwisho wa siku kila kitu kimekwenda sawa," ilieleza taarifa hiyo.

Tshishimbi hivi karibuni alisema kuwa yupo kwenye mazungumzo na mabosi wa Yanga wakifikia muafaka atamalizana nao.

6 COMMENTS:

  1. TATIZO LA YANGA MNAJITEKENYA WENYEWE ALAFU MNASHTUKA SASA NI AKILI KWELI HIZO?MBONA WENZENU HAWANA MANENO MENGI KAMA NYINYI,MAGAZETI YENU YANATENGENEZA KIKI ILI YAUZE NA YAMEFANIKIWA SANA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uchungu wa kumkosa Tshishimbi unawafanya msikose la kubwabwaja....

      Delete
    2. heeeh heeeh heeh.......wanaumiiiiiah......sasa ngoja tuchukue wa kwao pumbaaaafu.

      Delete
  2. KATI YA SIMBA NA YANGA NANI ANAMANENO MENGI
    WANAHELA SIMBA
    WANAKILI SIMBA
    WAJANJA SIMBA

    SISI OMBAOMBA
    TIMU MBOVU

    TULICHOAMUA SISI WAKIJA UWANJANI TUNAWAFOKOA FOKOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!

    ReplyDelete
  3. Povu linakuja..........................

    ReplyDelete
  4. Ama kweli nimeamini mtu akikwambia akili zako kama washabiki wale wa chura fc rusha ngumi nyingi sana yani Simba iumie kwa ajili ya kumkosa Shishi Baby Kudadadeki

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic