April 14, 2020


IMEELEZWA kuwa Klabu ya Chelsea imesitisha mpango wa kumuuza nyota wao N'Golo Kante msimu ujao.

Real Madrid iliyo chini ya Kocha Mkuu Zinedine Zidane inatajwa kuwa ilikuwa kwenye hesabu za kumpata kiungo huyo machachari ambaye anakipiga pia timu ya Taifa ya Ufaransa.

Kwa mujibu wa mtandao wa 90min unaeleza kuwa Madrid walikuwa na mpango wa kuinasa saini yake ila Chelsea nao wamedai kuwa bado wanahitaji huduma yake.

Mkataba wake ndani ya Klabu ya Chelsea unameguka 2023 na nyota huyo inatajwa kuwa hana mpango wa kubaki ndani ya klabu hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic