April 11, 2020


ERASTO Nyoni beki kiraka wa timu ya Simba bao lake la kwanza la kichwa msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara aliwafunga Azam FC ambao ni mabosi wake wa zamani.
Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.
Nyoni alifunga bao hilo, Machi 3, wakati timu yake ikishinda mabao 3-2 mbele ya Azam FC, zikiwa zimepita siku 676 tangu beki huyo afunge akiwa ndani ya Simba kwenye mechi za Ligi Kuu Bara.
Mara ya mwisho ilikuwa ni msimu wa 2017/18 Aprili 29 alipofunga bao  kwenye mchezo dhidi ya Yanga na  Simba ilishinda kwa bao 1-0 na kusepa na pointi tatu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic