KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wilfred Kidau amehojiwa leo na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (Takukuru).
Kidau alionekana akiingia ofisini majira ya saa tatu dk 42 na alitoka saa tano dk 14
Inaelezwa kuwa sababu ya kuitwa Takukuru ni kuhojiwa kutokana na matumizi ya Tsh. Bilioni 1 zilizotolewa kwa ajili ya AFCON 2019 ya vijana.
TFF ilidai kuwa fedha hizo zilizotolewa na Rais Magufuli hazikuingia katika akaunti zao.







TFF mupo?mnasema hela hamkupata,sasa vipi?
ReplyDeletesi waulize ziliingia wapi jamani
ReplyDelete