June 30, 2020


FT: Yanga 2-1 Kagera Sugar
UWANJA waTaifa
Zinaongezwa dk 4
Dakika 90 zinakamilika 
Dakika ya 85 Makame anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 84, Tariq Seif anaingia kuchukua nafasi ya Molinga, Niyonzima anatoka anaingia Sibomana 
Dakika ya 78 Awesu anaonyeshwa kadi nyekundu baadabya kuonyeshwa kadi mbili za njano
Dakika ya 75 Kaseke anafunga bao la pili kwa Yanga
Dakika ya 73 Nyosso anamchezea faulo mchezaji wa Yanga Ngassa nje ya d inafunikwa tuta
Dakika ya 70 Eric Mwaijage anaingia anatoka Sabato
Dakika ya 60 Awesu Awesu anachezewa faulo na Mnata, mwamuzi anatafsiri kuwa amejiangusha anaonyeshwa kadi ya njano Awesu
Dakika ya 51 Molinga anafunga Goool kwa kichwa Asisti ya Ngassa kwa kichwa
Dakika ya 49 Zawadi Mauya anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea rafu Kaseke
Dakika ya 47 Mhilu anakosa nafasi ya wazi akiwa na Mnata Dakika ya 46 Yanga wanapata faulo 
Dakika ya 45 Ngassa anaingia anatoka Nchimbi 
Kipindi cha pili kimeanza

Yanga imecheza mechi za nusu fainali mara tano
MAPUMZIKO: Yanga 0-1 Kagera Sugar  Dakika ya 45 zinakamilika zinaongezwa dakika 2
Dakika ya 44 Luhende anafanya jaribio linakwenda juu kidogo
Dakika ya 43 Kaseke anachezewa faulo ndani ya 18 Dakika ya 36 Kaseke anafanya jaribio linakwenda nje kidogo ya lango
Dakika ya 35 Molinga anaifuata Kagera Sugar  Dakika ya 19 Goal Awesu Awesu Asisti Mhilu
Dakika ya 12 Niyonzima anafanya jaribio linaokolewa na Kipao inakuwa kona haizai matunda
Dakika ya 8, Fei Toto anaangushwa ndani ya 18 mwamuzi anamwambia asimame aendelee kucheza Dakika ya 6 Kelvin Sabato anaotea
Dakika ya 05 Kagera Sugar wanaelekea lango la Metacha
Kipindi cha Kwanza
Yanga 0-0
Kombe la Shirikisho Hatua ya Robo Fainali 

5 COMMENTS:

  1. Dah majonzi na simanzi kwa wanajangwani kila wakati wanatanguliwa kufungwa...

    ReplyDelete
  2. naona gsm anataka kununua uwakilishi kwa lazima

    ReplyDelete
  3. Hivi hawa tff wapo ama hawapo? Maana mchezaji anakatwa nje ya 18 inawekwa penati yule kipa wa yanga kamkata ndani ya 18 hawajapewa penati huu mpira wa nchi hii hauwezi kuendelea hadi kiama ndio mana mechi za kimataifa tunashindwa kwa kuwa hakuna mbeleko kama hiyo ni ujinga mtupu kwa kweli

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic