October 18, 2020

 


SHIRIKISHO la Soka nchini (TFF) limeonesha kusikitishwa na baadhi ya taarifa zinazosambaa mitandaoni juu ya namna taasisi hiyo inashughulikia kesi zinazowasilishwa kwake na vilabu mbalimbali.

Aidha TFF itaendelea kusimamia haki kwa vile na taasisi inayoendeshwa kwa misingi na utawala bora, hivyo kama kuna upande hauridhishwi na uamuzi wa vyombo vya chini ya TFF, utaratibu ni kukata rufani ngazi ya juu ya TFF, Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) au Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS).


4 COMMENTS:

  1. Tatizo tff MNA double standing hamueleweki. Na haya yanayosemwa angekuwa uongo mngeshapiga watu faini mnavyopenda faini msijisafishe issue ya yanga na Morrison mlinzingua sana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mmeshaelezwa kama hamridhiki nendeni kwenye vyombo/ mamlaka ya juu zaidi TFF na Sheria na kanuni zinasema hivyo.Mbona vichwa vyenu vinakuwa vigumu kuelewa.kila mkiamka ni malalamiko utafikiri watoto wa kindergarten school.

      Delete
  2. Tuendelee kujifunza t Tff janja janja xana kila mtu ana interest na mambo yake

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic