FT:Simba 0-1 Ruvu Shooting
Dakika 90 zinakamilika
Mabingwa watetezi Simba wanayeyusha pointi tatu mbele ya wanajeshi Ruvu Shooting kwa kuchapwa bao 1-0 Uwanja wa Uhuru ikiwa nyumbani.
Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck kwa sasa inapasua kichwa kuona namna gani itaweza kutetea taji lake.
Zinaongezwa dk 6
Simba 0-1 Ruvu Shooting
Dakika ya 79 Bocco anakosa penalti
Dakika ya 72 Shaban Msala kadi nyekundu
Dakika ya 72 Fuji Uwanja wa Uhuru
Dakika ya 66 Mohamed Issa anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 59Luis anapiga faulo haizai matunda
Dakika ya 56 Maganga anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 53 Nyosso anazuia mipango ya Morrison
Kipindi cha pili kimeanza
Mapumziko
Simba 0-1 Ruvu Shooting
Uwanja wa Mkapa
Zimeongezwa dk 4
Dakika 45 zimekamilika
Dakika ya 43 Ruvu Shooting wanapeleka mashambulizi kwa Kakolanya
Dakika ya 35 Gooooal Full Maganga
Dakika ya 32 Ruvu Shooting wanapeleka mashambulizi kwa Kakolanya
Dakika ya 27 wachezaji wanapata mapumziko ya kunywa maji
Dakika ya 25 Kapombe amerejea uwanjani
Dakika ya 24 Kapombe anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 22 Emmanuel Martin anachezewa faulo na Mkude
Dakika ya 20 Abrahaman Mussa Mussa jaribio kali ila linakwenda nje ya lango
Dakika ya 19 Fully Maganga wa Ruvu Shooting anaotea
Dakika 15 za kipindi cha Kwanza zimekamilika hakuna timu iliyopata bao
Dakika ya 13 Ruvu Shooting wanapiga kona kupitia kwa Mussa
Dakika ya 12 Luis Miqussone anachezewa faulo na Emmanuel Martin
Dakika ya 11 Mzamiru anakimbilia Polisi kwa kutoa nje mpira
Dakika ya 10 Simba wanapata faulo
Dakika ya 5 Ajibu anakosa nafasi ya kufunga ndani ya 18
Oktoba 26
Ligi Kuu Bara
Simba 0-0 Ruvu Shooting
UWANJA wa Uhuru: Simba 0-0 Ruvu Shooting
Tuwekee matokeo ya wapinzani wetu Azam, hao Simba wamejichokea.
ReplyDeleteNa kweli sio uongo Simba tumesha jichokea na kwa mwendo huu hata klabu bingwa ya Africa tunatupwa nje mapema tu kama tulivyotolewa na UD Songo.Mpira wetu ni laini sana na mbinu ni zile zile.Kocha wetu Sven ni kama yuko kwenye mafunzo ya ukocha.Nahisi hii mechi leo tunapoteza pia na Kocha Mkwasa ananatutoa nishai leo.
DeleteWapinzani wa kugombea nafasi ya pili
DeleteZahera alitwambia kwa ligi ya hapa tutafanya vizuri ila kimataifa hatufiki mbali... mbona imekua hivi sasa!!
ReplyDeletePira biriani limechacha, Ndio mtamkoma Masaubwire Alisha wataadharisha
ReplyDeleteNdio hivyo tena, tuwekege na akiba ya maneno, kila timu ucheza na wachezaji 11 ,utasemaje hakuna wa kutufunga?
ReplyDeleteNdio hivyo tena, tuwekege na akiba ya maneno, kila timu ucheza na wachezaji 11 ,utasemaje hakuna wa kutufunga?
ReplyDeleteMasau Bwire alisema mtaona pira kavukavu, ND pira lenyewe Hilo hapo
ReplyDeleteSubirini kimataifa mpigwe tena 5X5, MO atweet tena kuwajambisha , kikosi kipana kisicho na madhara,
ReplyDeleteHureereeee
Nahisi simba wanaogopa ligwalide, yanga nao waazime combat watashinda
ReplyDeleteHatuna timu uwekezaji mkubwa timu mbovu sumbawanga uwanja mbovu haya huu dar nao hatuna timu kwa staili hii ujinga mtupu
ReplyDeleteKocha haelewekiii
ReplyDeleteNingekuwa mie Sven Leo ningeita wanahabari na kuachia ngazi.Ni mwezi ujao klabu bingwa ya Africa inaanza si ndio itakuwa biashara ile ile ya UD Songo
DeleteAcheni kukata tamaa team itarudi kwenye form muda cmrefu maana lazima itajiuliza inakwama wp na watarekebisha makosa.
ReplyDeleteTusijipe matumaini wanasimba hakuna kocha..games mbili mfululizo unapoteza tena ndani ya wk moja?...unapoteza pointi 6 kimasihara tena mbele ya makocha wazawa wenye leseni B iliyotolewa na CAF na sio UEFA...kuachwa pointi 8 na anayeongonza ligi si kitu rahisi to come back and recover.Tumeshavurugwa
DeleteKikosi kina changamoto ya key players hasa striking force. Kagere Mugalu na hata huyo Bocco ni majeruhi. Kiungo anayechezesha timu kwa skills zake hayupo hawasemi aliko. Never change a winning squad
DeleteTabia huwa haifi bali huzugwa kwa mda lakin baadae hujionesha morrison mliye 2fanyia umafia mtamfukuza kwa lazima nazan mmeanza kuonja radha yake mdogomdogo mtamsoma tu nendeni nae mwendo wa kinyonga
ReplyDeleteMm ninaamin kuna mgogoro au mgomo. Kwnn? kwnn mkude kavalishwa unahodha wakat captain shabalala yupo ndani aff anaingia captein mkuu boko lkn kitambaa bado kinabaki kwa mkude. Hebu tafakarini haya
ReplyDeleteMbona Manula alikuwa kapteni kwenye mchezo wa ngao ya jamii/hisani wakati Tshabalala na Bocco wote walikuwepo?
DeleteMikia mtakufa na stress wanna yanga mbele Kwa mbeleeee
ReplyDeleteNinachoshukuru sana mashabiki wa Simba wamekuwa na lugha nzuri sana.yaani mji wa bariiiiidi
ReplyDelete